maisha magic bongo logo

Manka anampango! – Yalaiti

Video
08 Julai

Tanasha apewa faraja na marafiki zake kwamba awe mvumilivu na atapata mume. Tika hataki kukaa kwenye sherehe ya Remmy. Remmy afumwa na mke wake akiwa anaongea na Stella na Manka apanga marafiki zake wamlete Stella kwake.