channel logo dark
huba, slim billboard, web uni
channel logo dark

Huba

160Tamthilia16

Tima ana mimba! – Huba

Video
08 Julai

Nicole apata mwaliko mkubwa na Nelly adai kwamba Tima aseme ukweli kama ana mimba. Pia Kibibi aishiwa kupigana na Tima wakati Tima atimua kila mtu toka nyumbani kwake na Kibibi na Nelly waishia jela.