channel logo dark
Jua Kali
channel logo dark

Jua Kali

160Tamthilia16

Michael ana shida! – Jua Kali

Video
26 Juni

Michael agombana na Vivian akidai kwamba Vivian alitaka kuharibu ndoa yake, pia arudi kugombana na mke wake. Suzy awaonya wenzake akiwa anaondoka. Edu amtafutia kaka yake Sophia pasipoti na Anna akutana na Thomas