channel logo dark
huba, slim billboard, web uni
channel logo dark

Huba

160Tamthilia16

Kibibi ataka kurudiana na Devi – Huba

Video
17 Juni

Bi Sikitu amuonya Doris tena, wakati Fabrizio amwambia Kibibi kwamba watu watajua kuhusu Miraj. Jude akamatwa na yupo hatarini kwenda jela. Kibibi akutana na Devi ili warudiane wakati Tesa amgonga Kashaulo.