channel logo dark
Mengine Zaidi
channel logo dark

Pazia

160TamthiliaPG13

Hati za talaka zimetiwa saini– Pazia

Video
27 Julai

Miriam aambiwa kwamba alisha weka sahihi kwenye karatasi yake ya talaka. Bidu na Tunu waamua kumpa mtoto wao kwa Waridi. Hatimaye Henry akubali kuweka sahii kwenye talaka yake na Miriam. Baada ya kurudi nyumbani Miriam awafukuza Gloria na Regina wakati Mdoe akataa kutoka kwa Eliza.