channel logo dark
huba, slim billboard, web uni
channel logo dark

Huba

160Tamthilia16

Fabrizio akamatwa– Huba

Video
22 Julai

Fabrizio akamatwa mbele ya Sada, wakati harabi ya kifo cha Miraj na Annette chafika kwa Doris. Baba Nelly afanya mpango wa kumlinda Nelly na Bi Habiba amuuliza Kibibi kuhusu kifo cha Miraj. Hatimaye Kibibi aja kumtembelea Fabrizio