channel logo dark
MMB PaziaSM TwitterCover
channel logo dark

Pazia

160Tamthilia13

Mariam awekwa jela – Pazia

Video
14 Aprili

Eliza amuonya Henry kwamba ole wake kama ana mwanamke mwingine. Edu agundua kwamba Regina alipata ujauzito kipindi alivyo bakwa. Dr Love apelekwa jela na Jemo ajaribu kumtoa. Regina agundua kwamba ujauzito wake umetungwa nje ya uzazi. Mariam apelekwa kituo cha police kwa kosa la kutaka kuua.