channel logo dark
MMB PaziaSM TwitterCover
channel logo dark

Pazia

160Tamthilia13

Brenda anashida na pesa – Pazia

Video
17 Machi

Brenda afanya mpango wakupata nusu ya pesa kwa ajili ya Fred. Ben aamua kutoa rafiki yake Gloria, ili aachane na Edu. Tunu afanya mpango kutoa mtoto wake. Wakati Dr Love amwambia Regina kwamba ujauzito wake ni wa Jemo