channel logo dark
MMB PaziaSM TwitterCover
channel logo dark

Pazia

160Tamthilia13

Jemo afuatilia maagizo ya Dr Love – Pazia

Video
24 Machi

Regina anatafuta ushahidi ili ajue ni nani wakumshitaki. Gloria ajifunza kwamba ujauzito wa Regina ni wa Jemo. Wakati Dr Love aendelea kumtapeli Fredy. Waridi aendelea na mahusiano na Ben wakati Regina amuonya Jemo. Hatimaye Regina awaambia wazazi wake kama ana mimba ya miezi miwili.