channel logo dark
MMB PaziaSM TwitterCover
channel logo dark

Pazia

160Tamthilia13

Gloria avishwa pete – Pazia

Video
24 Februari

Fred yuko kituo cha police kuwaonyesha mapolisi ni nani alimpiga risasi Edu. Wakati Gloria amwambia Jemo kwamba Edu bado yuko hai na yupo na Regina. Henry na Mariam waja kumtembelea Regina na Edu nyumbani na washangazwa na maisha yao yakifahari. Gloria amwambia mama yake kwamba Jemo alimvalisha pete.