Professor Bili ni bingwa wa kupiga hesabu zake huku akiwatumia watu mbalimbali katika michezo yake michafu. Mpambe wake Thomas, moja ya wanafunzi wake vipanga
S7 | E151
30 Oktoba 21:30
'S7/E151'. Regina akiamsha moto, Professa anagundua mengi na usaliti unaomzunguka, Michael anakubali kutoa talaka, Maria...