channel logo dark
Jua Kali
channel logo dark

Jua Kali

160Tamthilia16

Je Bill amefanya sawa kutoa siri ya Eva? – Jua Kali

Habari
31 Julai 2024
Bill amwambia Frank ukweli kuhusu hali ya Eva!
Jua Kali

Tangu Bill alivyogundua ukweli kuhusu maisha ya zamani ya Eva, amekuwa kwenye mashaka. Baada ya muda kidogo, Bill na Eva waliamua Kwenda kwa daktari kujipima na ukimwi, na matukio yalitoka kitofauti kwa wote wawili.

Eva na Bill wapata majibu ya vipimo

Baada ya kupata majibu ya matukio, Eva na Bill hawajui jinsi mahusiano yao yaendelea kivipi. Kama kaka yake mkubwa, Bill alikuja kwa Frank ili amsaidie kimawazo, je alifanya sawa kumwambia Frank hali ya Eva kabla Eva mwenyewe hajasema chochote?

Jua Kali
Hali ya Eva - Jua Kali

Je Bill alifanya sawa kumwambia Frank hali ya Eva kabla Eva mwenyewe hajasema chochote?

Ndiyo50%
Hapana50%

Usikose kufuatilia kipindi cha #MMBJuaKali kila Jumatano hadi Jumapili saa 3:30 usiku ndani ya Maisha Magic Bongo.