Logo
Nuru
channel logo dark

Nuru

160DramaPG13

Nani amekomeshwa zaidi na wanawake?

Habari
10 Julai 2024
Danny aliachwa na Juliana na mke wake akaanzamroga wakati Iddy anazungukwa na wake zake wawili.
Article

Danny alimpenda sana Juliana lakini alikuwa na matatizo mawili, la kwanza alikuwa ameshaoa na la pili hakuwa na pesa. Baada ya Juliana kuona kwamba Mzee Andrew ndiye atakaye mpa maisha mazuri zaidi, aliacha na Danny na Kwenda kwa Mzee Andrew. Wakati nyumbani kwa Danny, mke wake alimkomesha na kuanza kumpa dawa za mganga, kumroga, wakati yeye akiwa anatembea na wanaume wengine. 

Iddy nae alifikiri ameshinda baada ya kuoa wanawake wawili, tatizo ni kwamba Semeni alianza mahuasiano ya mfanyakazi wake Iddy, Peter. Wakati alivyoingia kwenye mahusiano na Peter, Peter nae alikuwa na Sophia. Kwa sasa hivi Iddy hajui kinachoendelea kati wa wake zake na Peter nay eye amebaki kupigania ndoa zake.Iddy nae alifikiri ameshinda baada ya kuoa wanawake wawili, tatizo ni kwamba Semeni alianza mahuasiano ya mfanyakazi wake Iddy, Peter. Wakati alivyoingia kwenye mahusiano na Peter, Peter nae alikuwa na Sophia. Kwa sasa hivi Iddy hajui kinachoendelea kati wa wake zake na Peter nay eye amebaki kupigania ndoa zake.

 Usikose kufuatilia kipindi cha #MMBNuru kila Jumatatu hadi Ijumaa saa 4 usiku na pia kipindi cha #MMBJuaKali kila Jumatano hadi Jumapili saa 3:30 usiku ndani ya DStv chaneli 160!

Danny & Iddy

Kati ya hawa wawili na nani anastahili zaidi kuyapata hayo matatizo na wanawake?

ar
Danny0%
ar
Iddy100%