channel logo dark
huba, slim billboard, web uni
channel logo dark

Huba

160Tamthilia16

Nelly bado anamtaka Devi– Huba

Video
26 Agosti

Nelly bado amelewa na Tesa amwambia Nelly aende kwa Devi. Wakati Roy akasirika juu ya Doris kutomsikiliza na Doris arudi kwa mizimu. Tesa afika kwa Devi na Tima kuvuruga mambo wakati Kibibi ampeleka shangazi jela.