channel logo dark
jua kali, slim billboard, web uni
channel logo dark

Jua Kali

160Tamthilia16

Anna ana penzi jipya!– Jua Kali

Video
21 Agosti

Diba afika ofisini kumona Anna wakati Thomas afika ofisini kwa Frank. Mke wa Idi bado anataka mume wake arudi. Mama Thomas agundua uchawi nyumbani kwake, na Vivian anahofu kwamba ametambuliwa. Siri ya Auntie zai yajulikana na Felix akutana na Maria.