channel logo dark
MMB HubaSM V1 TwitterCover Generic HR
channel logo dark

Huba

160Tamthilia16

Devi anampango wa kuondoka!– Huba

Video
25 Machi

Bi Sikitu amuonya Doris juu ya uchawi wake. Nelly anampango wa kutoroka na Devi kwa kutumia pesa ya Tesa. Kashaulo awafuma Sidi na baba Rukia wakiwa pamoja. Devi amwambia Kibibi kama ana mpango wa kusafiri na Nandy yupo tayari kurudi nyumbani.