channel logo dark
channel logo dark

Jua Kali

160Tamthilia16

Je Naira ana mimba? – Jua Kali

Video
11 Machi

Lukas alia juu ya kugundua kwamba Maria ameshakubali kuolewa na mtu mwingine. Sophia amsema Eddy baada ya kujaribu kumtongoza, na Bill ataka kujua kama ana mimba. Kitundu amng'ang'ania Sophia asirudi mtaani na Naira akatazwa kumuoa Bill.