channel logo dark
channel logo dark

Jua Kali

160Tamthilia16

Auntie Zozo– Jua Kali

Video
18 Machi

Naira akana kuwa na mimba kwa Frank, wakati Tunu aamua kumtembelea Felix kwa Thomas na Stella na aona Stella na Felix pamoja. Wakati Thomas afungiwa chumbani kwa Anitha wakati Frank alivyokuja. Hatimaye Anna kafika Ghana kwa Bobo.