channel logo dark
Mengine Zaidi
channel logo dark

Pazia

160TamthiliaPG13

Sakina atoroka – Pazia

Video
07 Septemba

Fred ajakumuonya Jemo akiwa anatafutwa na Inspekta Barry. Tunu bado yuko kwa mganga kujaribu kumuokoa mume yake aliyelogwa. Sakina atoroka na Mzee wake aja kwa Edu na amlazimisha kulipa mahali ya shilingi mia moja kumuoa. Mke wake Sadiq amuomba amsaidie kuzaa mtoto kumpata mtoto.