channel logo dark
channel logo dark

Jua Kali

160Tamthilia16

Jua la muwakia Prof Bill – Jua Kali

Video
04 Septemba

Mke wa Prof Bill agundua kwamba auntie Zai alishawahi kuwa mchepuko wa Bill. Frank amlazimisha Naira kuficha siri ya mimba yake. Thomas bado anawaza kumuoa Maria wakati Maria amwambia Anita kwamba amemchoka Thomas.