channel logo dark
Jua Kali
channel logo dark

Jua Kali

160Tamthilia16

“Pokea hiyo simu”– Jua Kali

Video
15 Juni

Zai amfokea msicha mpya wa kazi juu ya kumpikia Profesa chakula. Frank amlazimisha Maria kupokea simu mbele yake. Felix ajikuta kati ya ugomvi wa Stella na Thomas juu ya Stella. Anna amwambia Diba kwamba yupo tayari kufunga ndoa nae na aomba msamaha. Mfanya kazi wa Profesa ajaribu kumuua mama yake.