maisha magic bongo logo
Mpali

Tamara apoteza pesa zote – Mpali

Video
29 Mei

Tamara amwambia Ngozo kwamba amepoteza pesa zote. Hambe alazimishwa kumpa fine na mahali. Mke wake wa kati wa Ngozo adai Ngozo kumheshimu mjomba wake Patrick.