channel logo dark
channel logo dark

Mwali

160DramaPG13

Zawadi asema ukweli – Mwali

Video
29 Mei

Semindu amwambia Cheka kwamba yeye ndiye mmliki wa wa mali za baba yake. Nozo ataka kujua kwanini boma lilivunjika na kwa nini babu fake aliado utawala. Chifu Kandamsile amfariji mtoto wake, na Zawadi aongea kuhusu yaliyo mtokea.