channel logo dark
channel logo dark

Jua Kali

160Tamthilia16

Stella afanya uamuzi – Jua Kali

Video
05 Machi

Emma amfuata Frank kazini akidai haki za Anna na Frank ataka kumpiga. Stella anataka mume wake akae nyumbani, wakati Mary aenda kumuona Michael kazini. Pia Stella anataka kujua ni kwanini Maria anaendelea kutembea na mume wake.