channel logo dark
channel logo dark

Jua Kali

160Tamthilia16

George anataka kurudi Marekani – Jua Kali

Video
12 Februari

Mke wake George aamua kumuacha na George anataka kurudi Marekani. Mary anataka kujua ni nani anampigia simu Michael usiku. Sophie apigwa mtaani na pia Maria anaendelea mapenzi na hosi wake, wakati Kenzo aja ofisini kwa Vivian kumpiga.