channel logo dark
channel logo dark

Jua Kali

160Tamthilia16

Naira apigwa vibaya – Jua Kali

Video
26 Februari

Naira apigwa na ameumia sana, Bill aja kumusahidia lakini tatizo ni kwamba hataki kutaja ni nani aliyempiga. Wakati ugomvi wazuka kijijini. Michael atongonzwa kazini, lakini hataki. Maria aendelea mahusiano na Felix kwasababu ya pesa. Stella anahasira sana na Thomas na anataka majibu.