channel logo dark
channel logo dark

Jua Kali

160Tamthilia16

Karibu! – Jua Kali

Video
07 Januari

Kipindi cha kwanza cha Jua Kali kimeanza. Tunaanza kwa ukali sana na Sophie kufumwa na mume wa mtu. Mambo kijijini yazuka baada ya wanakijiji kukasirika. Hatimaye George apata mshituko mkubwa akitua uwanja wa ndege.