maisha magic bongo logo

Kabla mzee haja rudi! – Karma

Video
28 Decemba

Lorenzo aendelea kumtamani Chima na aishia kumlazimisha kimapenzi. Nancy arudi nyumbani usiku kukuta mama yake yuko hoi na anaumwa. Nama na Khazzer wagombana kuhusu Misa.