maisha magic bongo logo

Nani mkubwa? – Karma

Video
07 Januari

Misa na Nama bado wako kwenye vita wakiwa ndani ya nyumba moja. Maisha ya Desire bado yako kwenye hatari na mjomba yake adai aambiwe ukweli kuhusu madam Veronica. Wakati nyumbani kwa Madam Veronica kuna kesi mpya na Khizzer na Kivu afumwa kwa wizi.