channel logo dark
Huba
channel logo dark

Huba

160Tamthilia16

Ni kasheshe na Kila mtu huba zake- Huba

Video
30 Agosti

Wikii hii kwenye Huba, #HUBATZ ilikuwa kasheshe, na kila mtu na huba zake, na mambo yanazidi kuzorota. Huba la bi Mgeni limependa bei Tesa naye ni hasira na shughuli za kampuni mwanzo mwisho, je ni nini kitaendela na ndoa ya Kibibi? Tazama Higligts hapa kila Jumatatu-Ijumaa saa 3 Usiku usikose