channel logo dark
rebeca
channel logo dark

Rebeca

160DramaPG13

Harusi ya Caren – Rebeca

Video
21 Agosti

Wikii hii Kwenye #Rebeca, bibi harusi anameremeta, lakini bwana harusi ataishia kuwa nani? Je ni Deo au Albert?. Lulu na Kenzo nao shughuli shughulini! Baada ya Albert kuchomoa betri na yaliomkuta Deo ni nini kitafuata? Sakina nae? #Rebeca, kila Jumatatu-Jumatano saa 1;30 Usiku na usikose marudio kila Jumapili saa 10.