Huba
160
Tamthilia
16
Main
Video
Habari
Video za hivi karibuni
Msiba wa Angel - Huba
Mapenzi yamchanga Rachel - Yolanda
Video
Devi akutana na Abby - Huba
Devi amuona Abby na kumbukumbu zarudi, wakati kuna msiba kwa Kibibi.
Video
Familia ya JB yatoa sadaka! - Huba
Yakubu ataka kufanya sadaka. Jude arudi kwa Tima kudai kitao.
Video
Tima afukuza watu kwake - Huba
Nelly bado anamaumivu juu ya kifo cha mama yake. Tima afukuza wageni wote kwake na Sidi aona majini.
Video
Majini yamfuata JB - Huba
Roy na Jude wavutana mashati na majini yamfuata JB kwa Nicole.
Video
I'm sorry ya nini?'– Huba
Tima anaomba msamaha kwa Devi huku Jude akizungumza kuhusu Abi kuhusika na Doris.
Video
JB ategwa na Nicole - Huba
JB ajikuta ameamkia kwa Nicole, Chidi amkumbusha Kibibi kama yeye ndiye baba wa nyumba.
Yajayo
Leo
Alhamisi
Spotlight
Get DStv
Get Showmax
Self-service MyDStv
Stream DStv