maisha magic bongo logo

Utamtajaje mtu aliesha ondoka duniani? – Karma

Video
23 Agosti

Nandy alazimishwa kuchagua kati ya kazi yake au ndoa yake wakati Dr Desire akutana na ndoto zake mbaya kazini. Madam Veronica atafuta mbinu zoke ili Nancy asihamie kwao.