maisha magic bongo logo

Matatizo ya Familia – Karma

Video
16 Agosti

Lorenzo aonywa na baba yake kama akiendelea na tabia zake hato kaa apate mali zake. Waziri akumbwa na siri zake za zamani wakati Dr Desire anatafuta kujua zaidi kuhusu familia yake.