maisha magic bongo logo

Kila mtu atabeba msalaba wake – Huba

Video
16 Aprili

Kibibi amlipa Kashaulo kwa kazi aliyofanya ya kumwambia Chidi yuko wapi na mwanae, Angel. Happy aamua kuachana na Chidi wakati Roy amfuma Jude akiwa kwenye deti na Tima wakati akiwa na Nandy. Tesa awekwa hospitali na Devi aulizwa kuhusu mpango wake.