channel logo dark
MMB PaziaSM TwitterCover
channel logo dark

Pazia

160Tamthilia13

Regina na Edu wafunga ndoa hospitalini – Pazia

Video
10 Februari

Mama yake Gloria akasirika kwa jinsi Gloria alivyo simamamisha ndoa ya Regina. Mtu aliye mpiga risasi Edu akamatwa na polisi. Regina na Edu waamua kufunga ndoa polisi.