channel logo dark
Slim BB Maisha Yanga
channel logo dark

Maisha Yangu

160RealityPG13

Samabaza jina

Steve Mworia — Maisha Yangu

00:03:27
Steve anasifiwa kama moja wa rubani bora zaidi nchini Tanzania na baadaye akajifunza kuongoza ndege au kwa kimombo air traffic controller. Philosofia yake ni ukipata mafanikio ujenge wengine.
Steve Mworia — Maisha Yangu Image : 1145

Vipindi Zaidi

Mtangazaji Maarufu, Milliard Ayo – Maisha Yangu Image : 1153
Steve Mworia — Maisha Yangu Image : 1145
Steve Mworia — Maisha YanguSteve anasifiwa kama moja wa rubani bora zaidi nchini Tanzania na baadaye akajifunza kuongoza ndege au kwa kimombo air traffic controller. Philosofia yake ni ukipata mafanikio ujenge wengine.
Basil Mramba — Maisha Yangu Image : 1143
Basil Mramba — Maisha YanguWaziri mstaafu Mramba ametumika sana nchini Tanzania. Anasifiwa kwa kazi aliyofanya huko Rombo kama vile kuinua wakaaji a mkoa huo na kuendeleza miradi iliyopita mipaka ya Rombo.
Cleopa Msuya — Maisha Yangu Image : 1140
Cleopa Msuya — Maisha YanguCleopa aliyejulikana pia kama "Baba wa Mwanga ni waziri mkuu mstaafu aliteuliwa kuwa mbunge, waziri wa fedha na msimamizi wa viwanda katika serekali ya awamu mbili tofauti
Sabra Mchano — Maisha Yangu Image : 1134
Sabra Mchano — Maisha YanguSabra Mchano ni hakika malkia wa nguvu. Ni mwanamke wa kuigwa aliyependa sana maendeleo. Amejitwalia tuzo mbali mbali za kuheshimika kote Tanzania bara na visiwani.
Emmanuel Mgaya (Mpoki) — Maisha Yangu Image : 1129
Emmanuel Mgaya (Mpoki) — Maisha YanguMpoki alikuwa mchangamfu tangu utotoni na hivyo kurahisisha uigizaji wake wa comedy inchini Tanzania. Tazama stori yake hapa.
Ally Remtullah— Maisha Yangu Image : 1125
Ally Remtullah— Maisha YanguTangu utotoni Ally alipenda fani ya mitindo. Ni mpambanaji na mbunifu asiyechoka, asiyekatishwa tamaa na aliyefanya kazi na watu mashuhuri nje na ndani ya nchi.
Doris Mollel — Maisha Yangu Image : 1121
Doris Mollel — Maisha YanguMwanzilishi na Mkurugenzi wa Doris Foundation ambayo ni taasisi ya kusaidia watoto njiti yaani premature. Haya ndio maisha yake.
Taji Liundi — Maisha Yangu Image : 1117
Taji Liundi — Maisha YanguMtangazaji maarufu na muasisi nchini Tanzania Taji Lihundi asimulia vile mchezo wa soka iliokoa maisha yake akiwa mtoto. Mamake aliwapa sumu yeye na ndugu zake na ni yeye tu ndio alipona!
Asha Baraka — Maisha Yangu Image : 1112
Asha Baraka — Maisha YanguMkurugenzi wa bendi ya Twanga Pepeta aongea kuhusu changamoto alizo kumbana nazo pamoja na kuwahimiza wanawake wasiogope kuchukua viti za mbele maishani.
Khadija Omari Kopa — Maisha Yangu Image : 1107
Khadija Omari Kopa — Maisha YanguMwana mziki huyu maarufu kama Malkia wa mipasho Tanzania, atupa uhondo na kutuelezea changamoto na mafanikio alizopitia wakati alipokuwa akibuni muziki wa Taarab.
Safari ya Job Lusinde- Maisha Yangu Image : 1103
Safari ya Job Lusinde- Maisha YanguJob Lusinde alizaliwa Dodoma na kusomea huko baada ya kuhitimu masomo yake ya awali akaenda kusoma chuo cha Makerere Uganda , baada ya kuhitimu chuo alianaza kufundisha huko huko
Mpambaji maharusi – Maisha Yangu Image : 1099
Mpambaji maharusi – Maisha YanguTangu utotoni Maza hakukubali kuwa nyuma kwa kila jambo alilofanya, aliamini kuwa mikono yake inaweza kufunya kazi. Amefanya karibu shughuli zote za mikono ikiwemo ususi,upambaji,utengenezaji wa vikapu,ufumaji wa vitambaa,upishi na nyinginezo
Dr.Samwel Malecela- Maisha Yangu Image : 1095
Dr.Samwel Malecela- Maisha YanguDR John Samwel Malecela Waziri Mkuu mstaafu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, ana mengi ya kutueleza, harakati zake na wenzake katika kugombania uhuru wa nchi yetu, historia yake katika masomo na mambo ya siasa Usikose Maisha Yangu kila Jumapili saa 1 Usiku
Kaa mkao wa kula – Maisha Yangu Image : 1090
Kaa mkao wa kula – Maisha YanguZimesalia siku chache tuanze kuwajua , mashujaa . wapiganaji, wawezeshaji majemedari yetu Tanzania. kaa mkao wa kula Jumapili hii saa 1 Usiku mambo ni moto ile mbayaaa!
Nancy Sumari – Maisha Yangu Image : 829
Nancy Sumari – Maisha YanguHakuwahi kabisa kuonyesha mapenzi kwenye urembo alipokuwa mtoto,Nacy Abraham Sumari Miss Tanzania(2005) ambae pia alishinda taji la Miss Wold Africa. Tazama HIGHLIGHTS hapa!
Joachim Maunde Kimario (Master J)  – Maisha Yangu Image : 820
Joachim Maunde Kimario (Master J) – Maisha YanguMaster J ni mtayarishaji wa muziki hodari nchini Tanzania na mmiliki wa studio ya Muziki ya MJ Records. Amefanya kazi na kukuza vipaji vya wasanii wengi sana Tanzania. TAZAMA highlights hapa
Dina Marious – Maisha Yangu Image : 826
Dina Marious – Maisha YanguMalkia wa nguvu anatupa ufafanuzi wa kina kabisa kuhusu safari yake maisha yake tangu alipo anza ,changamoto , mafanikio na mengine mengi. TAZAMA highlights hapa
Carlos Mella – Maisha Yangu Image : 827
Carlos Mella – Maisha YanguMmiliki wa Samaki Samaki Carlos Bastos Mella, maarufu kama Kalito ni mu Hispania aliyeishi Tanzania kwa zaidi ya miaka 20. Je, ni changamoto gani aliyopitia hasa akiishi Tanzania? TAZAMA highlights hapa
Haji Manara – Maisha Yangu Image : 832
Haji Manara – Maisha YanguHaji Manara ambaye ni msemaji wa timu ya simba FC , Tanzania anasimulia stori changamoto na mafanikio tangu akiwa mtoto . Ni mcheshi, mwerevu na shupavu
John Stephen Ahkwari – Maisha Yangu Image : 819
John Stephen Ahkwari – Maisha YanguIngawa alikuwa mwanariadha maarufu ambaye alipewa heshima kubwa sana ulimwenguni, alikumbana na vikwazo mingi. TAZAMA highlights hapa
Dully Sikes- Maisha Yangu Image : 840
Dully Sikes- Maisha YanguKila mtu mwenye mafanikio, ana mengi aliyopitia, pata kumjua kiundani zaidi huyu msanii msanii Dully Sikes, mmoja kati ya waanzilishi wa Bongo fleva
Deborah Mwenda - Maisha Yangu Image : 893
Deborah Mwenda - Maisha YanguWiki hii katika kipindi chetu kipya cha #MAISHAYANGU, tulimhoji mama yetu Debora Mwenda alipenda sana utangazaji tangu akiwa mdogo, bonyeza hapa kupata highlights. #MMBongo
Mtangazaji Maarufu, Milliard Ayo – Maisha Yangu

Nyumba ya burundani on Maisha Magic Bongo