channel logo dark
channel logo dark

Jua Kali

160Tamthilia16

Kenzo amsumbua Vivian ofisini – Jua Kali

Video
22 Januari

Sophie achambwa mtaani baada ya kufumwa na mume wa mtu. Kenzo aja ofisini kumsumbua Vivian. Bill ajakumwona Shangazi Zai na mwanae lakini, Mara amkataa Bill wakati anamwona Felix kwa siri. Pia, mama yake Suzanne ajaribu kumuua mtoto.