channel logo dark
Mengine Zaidi
channel logo dark

Pazia

160TamthiliaPG13

Gloria anamtaka Jemo – Pazia

Video
20 Januari

Fred hawezi kumuelezea Regina alifikaje kwake. Dr Love afukuzwa kazi baada ya dawa zake kupatikana kwa Regina. Wakati Edu amuelezea ukweli kwa Regina na Gloria amwambia Edu kwamba anamtaka Jemo.