Kipindi hiki kinatuonyesha hatua kwa hatua za mapishi ya vyakula vya kitanzania, na tukiwa na wageni wetu mashuhuri kutoka humu Tanzania.