channel logo dark
Divas & Hustlas
channel logo dark

Divas And Hustlas

160Lifestyle16

Divas and Hustlas kuanza Julai 13 ndani ya Maisha Magic Bongo!

Habari
06 Julai 2023
Je unajua Diva ni nani na Hustla ni nani ?
Divas & Hustlas


Mwezi mpya na mambo mapya. Kuanzia tarehe 13 Julai, tutakuletea kipindi kipya cha Divas & Hustlas. Kipindi hiki kitafuatilia wasanii wakubwa wanaoibuka jijini Dar es Salaam.

Tunawakutanisha na mastaa maarfufu jijini wakituleta maudhuhi yanayohusu maisha yao ya kila siku. Tutapata nafasi ya kushuhudia kazi zoa , maisha yao halisi,  mafanikio yao , biashara zao, changamoto, wanazozipitia furaha huzuni na mengine chungu nzima. Fuatilia wasanii wafuatayo; Malkia  Karen, Zee Cuty, Kontwana, Chino, MC Kitana, Reyjones. Ukitaka kujua jinsi ya kuishi kama Diva na Hustla na ambavypo wasanii wetu wanapambana kila siku na tasnia yao . 

Basii hakikisha  #MMBDivasAndHustas haikupiti kila siku ya Alhamisi saa 1 usiku ndani ya  DStv chaneli 160!

Nyumbani kumenoga kunoga  na Maisha Magic Bongo DStv 160 pekee #Niyetu!