channel logo dark
Wimbi
channel logo dark

Wimbi

160Drama16

Nyumbani kumenoga na Maisha Magic Bongo!

News
22 Juni 2023
Mwezi huu tunakuja kivingine kabisa kiburudani ndani ya Maisha Magic Bongo.
Article

Julai hii tutawaletea tamthilia mpya   ya #MMBWimbi inatarajiwa kuanza tarehe 3 Julai;

KUHUSU WIMBI
Hii tamthilia hii iliyoangazia wivu, tamaa, mapenzi na migogoro ya kila aina ,  simulizi hili litazungukia katika jamnii yenye visa , Tiara binti anaeishi katika ndoa na mume wake James Pamoja na mama yake Biha . Baada ya familia ya James kugundua kwamba mali za  wazazi wake zinamilikiwa na Tiara , Awali ya hapo Tiara alikuwa na mahusianona Hari lakini njama za wenye tamaa na mali wanafanikiwa mbaka kumpumbaza Tiara kiasi cha  kupoteza fahaumu . 

Je ni nini haswa kitaendela  na ilikuaje Tiara akaolewa na James ilhali alikua na mahusiano na Harry na alipoteza vipi fahamu na mali zitaishia wapi? 


Kaa mkao wa kula , na tukutane Julai 3 saa 4 Usiku ndani ya Dstv chaneli 160! Je utaangalia? Tuambie hapo chini 👇


 

Mwanzo wa Wimbi - Maisha Magic Bongo

Je utaangalia mwanzo wa #MMBWimbi? Tuambie hapa

Ndiyo35%
Hapana65%