channel logo dark
Kitimtim
channel logo dark

Kitimtim

160VichekeshoPG13

Msimu mpya — Kitimtim

Video
07 Aprili

Mikasa ya kukata na shoka inaendela katika msimu huu, Zude ameamua kumuoa Poli lakini kikwaza kinaibuka , wifi yake Dazuu akiwa ndio kinara mkubwa Pili anapata mke mwenza … sasa endela kutazama kila Jumatatu na Jumanne saa 3:30 usiku