channel logo dark
Kitimtim
channel logo dark

Kitimtim

160VichekeshoPG13

Can you dig it? Mgeni kutoka Ulaya hapa Kitimtim! – KiTimTim

Video
22 Mei

Sasa, rafiki wa Pili anakuja kutembea baada ya kuishi ulaya kwa miaka kadhaa. Wakiwa pamoja na Zunde na Shemeji, Pili na rafiki yake wanakoroga Kiingereza kikali! Zunde na Shemeji wataweza kweli? TAZAMA!