channel logo dark
Huba S12 BB
channel logo dark

Huba

160Drama16

Harusi bado inaendelea –Huba

Video
29 Mei

Nicole atoa tarifa kwamba Kibibi ametoka jela na Chidi amuaga Happy kwenda safarini. Jude amlazimisha Tima kukaa ndani, takati Chidi adam Kibibi kumrudishia kazi Tima. Tima naye aamua kumtongoza JB na Tesa amlazimisha Devi kuendelea na harusi.