channel logo dark
channel logo dark

Jua Kali

160Tamthilia16

Sophia apigwa – Jua Kali

Video
28 Mei

Thomas amwabia Mary waache nyuma mambo ya zamani. Wakati Mr Kaka amuonya Kenzo kuhusu Professor. Walati Sophia afumwa na mume wa mtu. Mary bado anahuzuni kuhusu Dominic na bibi yake anamwambia amsahau. Frank aja kumuidai Mary.