channel logo dark
channel logo dark

Jua Kali

160Tamthilia16

Mr Thomas aomba msamaha – Jua Kali

Video
21 Mei

Suzanne ahamia mjini na mwanae, Cheusi. Mary ampiga picha Dominic akiwa analala chini ili kuonyesha kwanini hawapati mtoto. Sophia na kaka yake wafanya mpango kwa mama yao. Wakati Felix aenda kwa baba yake, na Thomas amfukuza.