channel logo dark
Jua Kali
channel logo dark

Jua Kali

160Tamthilia16

Tuombe! – Jua Kali

Video
12 Juni

Mama yake Maria afika hospitalini kumuona Maria wakati akiwa mahututi. Felix amuhoja baba yake juu ya familia ya Frank na Maria. Wakati Frank amuomba Naira asiseme chochote kuhusu mahusiano yao. Frank awafuma Maria na Thomas hospitalini na Sophia akubali kuolewa na Eddy.