channel logo dark
Pazia
channel logo dark

Pazia

160Tamthilia16

Mdoe agundua ukweli– Pazia

Video
13 Aprili

Eliza amwambia Mdoe kuhusu jinsi alivyowafuma Henry na Gloria. Gloria ana deni na hajui jinsi ya kulipa. Mdoe aenda kwa Miriam na akutana na Henry na amwambia Miriam ukweli.