channel logo dark
channel logo dark

Kumi Za Wiki

160Muziki16

BabaLevo katika – Kumi za Wiki!

Video
12 Juni

Msanii maarufu, BabaLevo anatuletea simulizi ya maisha yake, jinsi alivyofungwa gerezani akituletea ujumbe wa unyanysaji wa polisi na serikali kwa wananchi. Anatueleza kwa undani historia ya uandishi wa mistari moto moto, ngoma kama 'High Low' na 'Dem wa Kigoma'. Pata uhondo hapa!